MONDULI: Kalanga mgombea Ubunge CCM pekee

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Siku mbili baada ya kundi la wanaCCM kujitokeza hadharani kupinga aliyekuwa mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kurejeshwa kugombea ubunge katika jimbo hilo, mwanasiasa huyo amechukua fomu ya kugombea akiwa mwanaCCM pekee.

Wiki mbili zilizopita, Kalanga alijiuzulu ubunge wa Monduli aliokuwa akiushikilia kwa tiketi ya Chadema.
Hata hivyo, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula amekaririwa leo na MCL Digital akisema kuwa, wanaompinga Kalanga wanaonyesha hofu tu, lakini Kamati Kuu ya CCM ndiyo itakayoamua nani awe mgombea wao katika kikao kitakachofanyika mwezi ujao.

Leo, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Monduli, Wilson Lengima amesema hadi jana, siku ya mwisho ya kuchukua fomu za ubunge ni Kalanga pekee aliyekuwa amechukua.

"Taarifa nilizonazo ni kuwa amechukua fomu Kalanga pekee na kama kutakuwa na mabadiliko tutatoa taarifa," amesema.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Kalanga pia amesema amechukua fomu kutetea wadhifa wake na kuwashukuru wanaCCM wenzake.
"Nimechukua fomu za ubunge na nawashukuru sana wanaCCM wenzangu kwa kuendelea kuniamini," amesema.

Mapema wiki hii wanaCCM zaidi ya 40 kutoka kata tatu kati ya 20 za Wilaya ya Monduli waliandamana kumpinga
Kalanga kugombea ubunge kupitia chama na kutuhumu kuwapo kwa njama za kutaka kumfanya mgombea pekee.

Hata hivyo, hadi jana jioni ikiwa ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya CCM, hakuna aliyempinga Kalanga.
kalanga%2Bpic.jpg
 
Siku mbili baada ya kundi la wanaCCM kujitokeza hadharani kupinga aliyekuwa mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kurejeshwa kugombea ubunge katika jimbo hilo, mwanasiasa huyo amechukua fomu ya kugombea akiwa mwanaCCM pekee.

Wiki mbili zilizopita, Kalanga alijiuzulu ubunge wa Monduli aliokuwa akiushikilia kwa tiketi ya Chadema.
Hata hivyo, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula amekaririwa leo na MCL Digital akisema kuwa, wanaompinga Kalanga wanaonyesha hofu tu, lakini Kamati Kuu ya CCM ndiyo itakayoamua nani awe mgombea wao katika kikao kitakachofanyika mwezi ujao.

Leo, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Monduli, Wilson Lengima amesema hadi jana, siku ya mwisho ya kuchukua fomu za ubunge ni Kalanga pekee aliyekuwa amechukua.

"Taarifa nilizonazo ni kuwa amechukua fomu Kalanga pekee na kama kutakuwa na mabadiliko tutatoa taarifa," amesema.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Kalanga pia amesema amechukua fomu kutetea wadhifa wake na kuwashukuru wanaCCM wenzake.
"Nimechukua fomu za ubunge na nawashukuru sana wanaCCM wenzangu kwa kuendelea kuniamini," amesema.

Mapema wiki hii wanaCCM zaidi ya 40 kutoka kata tatu kati ya 20 za Wilaya ya Monduli waliandamana kumpinga
Kalanga kugombea ubunge kupitia chama na kutuhumu kuwapo kwa njama za kutaka kumfanya mgombea pekee.

Hata hivyo, hadi jana jioni ikiwa ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya CCM, hakuna aliyempinga Kalanga.View attachment 831000
Kwani kuna aliyetegemea na lililotokea?
Haina haja ya kulianzishia uzi suala hilo maana lilikua linafahamika.

Hapo ndipo utakapoamini na kujua kwamba hawakuacha nafasi zao na kuhama vyama kwa mapenzi yao
 
Haya, wale wanaohubiri udikteta ndani Chadema waje sasa.
Ulitegemea nini kwa mbunge kujiondoa chadema ili avue ubunge harafu agombee ubunge kupitia CCM?Ni wazi sharti lilikuwa apite bila kupingwa na hata Chadema au chama chote kikimsimamisha mtu yeyote atabwagwa tu kwa namna yoyote ile.
Mambo ya siasa za bongo waachie wao CCM,ukishindana nao utapata shida sana.
 
Siku mbili baada ya kundi la wanaCCM kujitokeza hadharani kupinga aliyekuwa mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kurejeshwa kugombea ubunge katika jimbo hilo, mwanasiasa huyo amechukua fomu ya kugombea akiwa mwanaCCM pekee.

Wiki mbili zilizopita, Kalanga alijiuzulu ubunge wa Monduli aliokuwa akiushikilia kwa tiketi ya Chadema.
Hata hivyo, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula amekaririwa leo na MCL Digital akisema kuwa, wanaompinga Kalanga wanaonyesha hofu tu, lakini Kamati Kuu ya CCM ndiyo itakayoamua nani awe mgombea wao katika kikao kitakachofanyika mwezi ujao.

Leo, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Monduli, Wilson Lengima amesema hadi jana, siku ya mwisho ya kuchukua fomu za ubunge ni Kalanga pekee aliyekuwa amechukua.

"Taarifa nilizonazo ni kuwa amechukua fomu Kalanga pekee na kama kutakuwa na mabadiliko tutatoa taarifa," amesema.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Kalanga pia amesema amechukua fomu kutetea wadhifa wake na kuwashukuru wanaCCM wenzake.
"Nimechukua fomu za ubunge na nawashukuru sana wanaCCM wenzangu kwa kuendelea kuniamini," amesema.

Mapema wiki hii wanaCCM zaidi ya 40 kutoka kata tatu kati ya 20 za Wilaya ya Monduli waliandamana kumpinga
Kalanga kugombea ubunge kupitia chama na kutuhumu kuwapo kwa njama za kutaka kumfanya mgombea pekee.

Hata hivyo, hadi jana jioni ikiwa ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya CCM, hakuna aliyempinga Kalanga.View attachment 831000
Weldone
 
Kwa haya yanayoendelea kuna kila dalili ya mtu kujitangazia uraisi wa maisha.Hapa anajitengenezea mazingira ya matakwa yake
 
Ulitegemea nini kwa mbunge kujiondoa chadema ili avue ubunge harafu agombee ubunge kupitia CCM?Ni wazi sharti lilikuwa apite bila kupingwa na hata Chadema au chama chote kikimsimamisha mtu yeyote atabwagwa tu kwa namna yoyote ile.
Mambo ya siasa za bongo waachie wao CCM,ukishindana nao utapata shida sana.
Nchi ya Vi-wonder hii.Anajivua ubunge halafu anagombea tena.HAPO HAPO.Hakuna nchi rahisi kuongoza DUNIANI kama Tanzanaia.Yoyote ANAWEZA.
 
Hapo utakuta kaambiwa suala la ushindi tuachie sisi. Bongoland hii
 
Nchi ya Vi-wonder hii.Anajivua ubunge halafu anagombea tena.HAPO HAPO.Hakuna nchi rahisi kuongoza DUNIANI kama Tanzanaia.Yoyote ANAWEZA.
Kazi ya kupiga kura ni yako,lakini kazi ya kumtangaza mshindi ni ya NEC.Ukilijua hilo hutapata shida.
 
Back
Top Bottom