Monduli: Hati za mashamba 13 ya wawekezaji zafutwa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,300
25,920
Rais John P. J. Magufuli amefuta hati ya mashamba 13 ya wawekezaji wilayani Monduli ambayo yalikaa kwa muda mrefu bila kuendelezwa.

Uamuzi wa Rais,wenye baraka za kisheria,umetangazwa hukohuko Monduli na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe. William Lukuvi. Mashamba hayo yote yamerejeshwa kwa wananchi.
 
Taratibu fisadi papa Lowasa atafikiwa tu, mwanzo wa safari hatua sasa najua hapo lazima hayo ni ya kwake kuna sababu kwa nini hivi karibuni alienda kwenye Ranchi yetu ya Taifa aliyoipora huko Handeni kujifanya kuchunga ng'ombe lkn hata hiyo iko kwenye radar itachukuliwa tu!
 
Nawe unakera sana!!!!! Uchaguzi uliisha lakini wewe bado. Hivi hujamuona ni mwanaume wa shoka kwani alitukanwa hata watoto wa Msoga ila yeye kimya. Acha huu utoto! Naongea kwa kujiamini kwani Rais wetu ametueleza tuwe wakweli si wanafiki
 
Taratibu fisadi papa Lowasa atafikiwa tu, mwanzo wa safari hatua sasa najua hapo lazima hayo ni ya kwake kuna sababu kwa nini hivi karibuni alienda kwenye Ranchi yetu ya Taifa aliyoipora huko Handeni kujifanya kuchunga ng'ombe lkn hata hiyo iko kwenye radar itachukuliwa tu!

Mkuu,Lowassa anaingiaje hapa?
 
Azimio la Arusha ndani ya miezi michache ijayo mizizi
yake itaendelea kushika kasi.
Heko Mh.Rais kwa kuwakumbuka wanyonge.
 
Bwana Majivuno anahusika moja kwa moja kwenye huu uhuni. Kwanza sakata la mashamba ndio limewaka moto Monduli.
 
Back
Top Bottom