Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 May 21, 2018 Thread starter #101 sweetlee said: Hahaaa akili kubwa akitulia lakini Click to expand... Ngoja nimuite
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 May 21, 2018 #102 Inna said: sijawah ona mwnaume mmbeyaaaaaaaaaaa Click to expand... Sipendi alafu.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 21, 2018 #103 Inna said: unataka kufunga kufungua??? yan uache kuchat na wadada kama Mzigua hahah bado siamin Click to expand... Mzigua sichati naye PM, naenda kwake au yeye anakuja kwangu tukitaka kuongea. Au tunakutana kwenye vijiwe vya Heineken kama maongezi siyo ya kiutu uzima.
Inna said: unataka kufunga kufungua??? yan uache kuchat na wadada kama Mzigua hahah bado siamin Click to expand... Mzigua sichati naye PM, naenda kwake au yeye anakuja kwangu tukitaka kuongea. Au tunakutana kwenye vijiwe vya Heineken kama maongezi siyo ya kiutu uzima.
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,366 Reaction score 60,480 May 21, 2018 #104 Yani umeongea fact wifii kuna watu mkigombana nje ya if analeta kisasi hukuu sijui anazan anapata faida gani? Mm huwa nasema kamwee sitarudi nyumaaa DEMISS mbele kwa mbele kama Ccm najua lazima utakuja hapa kuqoute na kunitukana utateseka sana.
Yani umeongea fact wifii kuna watu mkigombana nje ya if analeta kisasi hukuu sijui anazan anapata faida gani? Mm huwa nasema kamwee sitarudi nyumaaa DEMISS mbele kwa mbele kama Ccm najua lazima utakuja hapa kuqoute na kunitukana utateseka sana.
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 21, 2018 #105 Mzigua90 said: Ule bwana RRONDO aliuwasha moto bila kujua Click to expand... nafikir hakujua maana hakuona ule uzi wa kipindi kile mana na wenyew ulikuwa fireeee watu wale wale jana bifu ndo likaamshwa upyaa
Mzigua90 said: Ule bwana RRONDO aliuwasha moto bila kujua Click to expand... nafikir hakujua maana hakuona ule uzi wa kipindi kile mana na wenyew ulikuwa fireeee watu wale wale jana bifu ndo likaamshwa upyaa
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 May 21, 2018 #106 Mzigua90 said: . Mwanaume gani huyo???? Huyu huyu ndugu yetu anaewagonganisha sana au yupi? Click to expand... simjui hata yaani huwa nacheka tu
Mzigua90 said: . Mwanaume gani huyo???? Huyu huyu ndugu yetu anaewagonganisha sana au yupi? Click to expand... simjui hata yaani huwa nacheka tu
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 21, 2018 #107 Saint Ivuga said: Katakubaka wewe si utaona Click to expand... Kumbee eeh, ngoja nijilengeshe aisee.
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 21, 2018 #108 Don Clericuzio said: Mzigua sichati naye PM, naenda kwake au yeye anakuja kwangu tukitaka kuongea. Au tunakutana kwenye vijiwe vya Heineken kama maongezi siyo ya kiutu uzima. Click to expand... Kumbee wale wengine jee si utakosa mawasiliano nao sasa
Don Clericuzio said: Mzigua sichati naye PM, naenda kwake au yeye anakuja kwangu tukitaka kuongea. Au tunakutana kwenye vijiwe vya Heineken kama maongezi siyo ya kiutu uzima. Click to expand... Kumbee wale wengine jee si utakosa mawasiliano nao sasa
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 May 21, 2018 Thread starter #109 Saint Ivuga said: Haki nitawafuta hapa JF. Yani mutaniacha kama mlibyonikuta.. nawatania bwana. Nitafurahi mtakuwa mmeniongezea watoto wenye haja na mkuyenge. Ila mimi ukiona nimempa mdada namba yangu ujue anajitambua. Click to expand... Tukituma na picha yako ya mandingo pm itafurikaa. Maana si unajua tunavyopendaga watu wenye miguu mitatu eeh
Saint Ivuga said: Haki nitawafuta hapa JF. Yani mutaniacha kama mlibyonikuta.. nawatania bwana. Nitafurahi mtakuwa mmeniongezea watoto wenye haja na mkuyenge. Ila mimi ukiona nimempa mdada namba yangu ujue anajitambua. Click to expand... Tukituma na picha yako ya mandingo pm itafurikaa. Maana si unajua tunavyopendaga watu wenye miguu mitatu eeh
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 21, 2018 #110 Demiss said: Yani umeongea fact wifii kuna watu mkigombana nje ya if analeta kisasi hukuu sijui anazan anapata faida gani? Mm huwa nasema kamwee sitarudi nyumaaa DEMISS mbele kwa mbele kama Ccm najua lazima utakuja hapa kuqoute na kunitukana utateseka sana. Click to expand... Mrs jr uyoo
Demiss said: Yani umeongea fact wifii kuna watu mkigombana nje ya if analeta kisasi hukuu sijui anazan anapata faida gani? Mm huwa nasema kamwee sitarudi nyumaaa DEMISS mbele kwa mbele kama Ccm najua lazima utakuja hapa kuqoute na kunitukana utateseka sana. Click to expand... Mrs jr uyoo
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 May 21, 2018 Thread starter #111 sweetlee said: Kumbe ndio zao wajinga waliopitiliza hao Click to expand... Ndo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha
sweetlee said: Kumbe ndio zao wajinga waliopitiliza hao Click to expand... Ndo nimejua jana lakini. Mi nashangaa hata sipewagi hizo nafasi za kujazwa ujinga. Maana nilivyo mdadisi ntakuuliza maswali hadi utaghairi kunishirikisha
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 May 21, 2018 Thread starter #112 Saint Ivuga said: NNN yuko wapi??? Click to expand... NN nimemwambia asitumie JF kwa muda maana ananiponza
Saint Ivuga said: NNN yuko wapi??? Click to expand... NN nimemwambia asitumie JF kwa muda maana ananiponza
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 21, 2018 #113 Inna said: Kumbee wale wengine jee si utakosa mawasiliano nao sasa Click to expand... Hakuna mwingine, ni wewe tu. Na wewe nakutafuta kama kuna kitu nataka kujifunza.
Inna said: Kumbee wale wengine jee si utakosa mawasiliano nao sasa Click to expand... Hakuna mwingine, ni wewe tu. Na wewe nakutafuta kama kuna kitu nataka kujifunza.
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 21, 2018 #114 Saint Ivuga said: Hayo hako kadada ni kticha kako. Katakuwa kanakufundisha huku kanakutamani. Click to expand... hahahaha sipendi
Saint Ivuga said: Hayo hako kadada ni kticha kako. Katakuwa kanakufundisha huku kanakutamani. Click to expand... hahahaha sipendi
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 21, 2018 #115 Saint Ivuga said: Katakubaka wewe si utaona Click to expand...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 May 21, 2018 Thread starter #116 Inna said: unataka kufunga kufungua??? yan uache kuchat na wadada kama Mzigua hahah bado siamin Click to expand... Huyu tunachat kwingine. Msaidie mchumba angu bwana.
Inna said: unataka kufunga kufungua??? yan uache kuchat na wadada kama Mzigua hahah bado siamin Click to expand... Huyu tunachat kwingine. Msaidie mchumba angu bwana.
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 May 21, 2018 #117 Don Clericuzio said: Kumbee eeh, ngoja nijilengeshe aisee. Click to expand... ntakulengaaa
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 May 21, 2018 Thread starter #118 Saint Ivuga said: Mzigua90 babe I love you. Njoo whatsapp unipe ubuyu wa jana ulinipita Click to expand... I love you too bby. Jana mwenyewe nilipitwa bby. Nimekuja nimetajwa na uzi umeshafungwa. Hata sijasoma comments maana nliona hamna jipya.
Saint Ivuga said: Mzigua90 babe I love you. Njoo whatsapp unipe ubuyu wa jana ulinipita Click to expand... I love you too bby. Jana mwenyewe nilipitwa bby. Nimekuja nimetajwa na uzi umeshafungwa. Hata sijasoma comments maana nliona hamna jipya.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 21, 2018 #119 Inna said: ntakulengaaa Click to expand... Ticha nilikuwa natania tu...
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,391 Reaction score 88,769 May 21, 2018 Thread starter #120 Inna said: sijawah ona mwnaume mmbeyaaaaaaaaaaa Click to expand... Mmbeya kama nini. Akisutwa hatumsaidii
Inna said: sijawah ona mwnaume mmbeyaaaaaaaaaaa Click to expand... Mmbeya kama nini. Akisutwa hatumsaidii