Unajua inakuaje. Wewe si hujui kitu unakua unashadadia tu. Basi muhusika anakufuata pm anakwambia kaseme hiki na kile. Au anakujaza maneno kuhusu mwingine. Sasa kama you are not smart utachukua uliloambiwa na kwenda kuingilia ugomvi. Halafu hao watu wakigombana sijui unapata nini wewe unaewachochea.