Monalisa Ndala: Chama changu cha ACT Wazalendo kiniweke miongoni mwa mashujaa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Kwanza nadhani tuna tamaduni za kuweka picha kwa watu ambao tunaamini ni mashujaa katika chama chetu, kwa hili chama kinapaswa kiniweka kati ya watu mashuhuri wa chama - Monalisa Ndala.

Monalisa ameingia kwenye mzozo na chama chake baada ya kupinga uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais kupitia tiketi ya ACT WAZALENDO na kupelekea mgombea huyo kuzuiwa na Tume ya Uchaguzi (INEC) kurudisha fomu ya kugombea nafasi hiyo.

CCM ni CCM tu
Kwani nani hajui kua chama chenu ni CCM B.
KAZI ni kipimo cha utu
 
ACT Wazalendo member, special assignment. This is the only recognition she deserves!
 
CCM ni CCM tu
Kwani nani hajui kua chama chenu ni CCM B.
KAZI ni kipimo cha utu
IMG-20250829-WA0008.jpg
 
Kwanza nadhani tuna tamaduni za kuweka picha kwa watu ambao tunaamini ni mashujaa katika chama chetu, kwa hili chama kinapaswa kiniweka kati ya watu mashuhuri wa chama - Monalisa Ndala.

Monalisa ameingia kwenye mzozo na chama chake baada ya kupinga uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais kupitia tiketi ya ACT WAZALENDO na kupelekea mgombea huyo kuzuiwa na Tume ya Uchaguzi (INEC) kurudisha fomu ya kugombea nafasi hiyo.

View attachment 3459073

ACT ilipo na CCM wapo. Vikaragosi vya CCM. Kama yule wa chadema alikuwa kikaragosi cha CCM
 
Back
Top Bottom