GE2025 Monalisa: Kama Chama kitakosa Mgombea uzembe niwa Chama na Viongozi, wote waliopo kwenye Uchaguzi watanufaika

GE2025 Monalisa: Kama Chama kitakosa Mgombea uzembe niwa Chama na Viongozi, wote waliopo kwenye Uchaguzi watanufaika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kada wa Act-Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa yeye hapaswi kulaumiwa kwa chama hicho kumkosa mgombea urais na wanaopaswa kulaumiwa ni katibu wa chama na mwanasheria wa chama, huku akibainisha kuwa vyama vyote vitanufaika kwa chama hicho kumkosa mgombea urais.
 
Back
Top Bottom