DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema yeye alikuwa akimuunga mkono Dorthy Semu, pia ni mgombea mzuri huku akibainisha kuwa Dorthy alishaajiandaaa kugombea Urais tangu mwaka 2023. Monalisa ameyasema hayo wakati akizungumza Wasafi TV.
Je, ni kweli Semu angeleta upinzani wa kutisha kama anavyodai Monalisa Ndala?
Je, ni kweli Semu angeleta upinzani wa kutisha kama anavyodai Monalisa Ndala?