Staa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo inakadiliwa kuwa ya miezi sita au saba. Hata hivyo staa huyo akuongelea chochote kuhusu kitumbo hicho kama alikua Location au ni kweli Ana mimba.
Mie warumi nakutakia kila la kheri, ila khaa!! Mie nilijua ushaenda MENOPAUSE maana na wewe wa kitambo si mchezo, nimeanza kukujua nikiwa na miaka 8 mpaka Leo hii uko vile vile, ila hongera, naona unafuata nyayo za ndugu yako mama tiffah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..hivi huko Leba hamnaga umri wa mwisho kuingia au kila mtu tu twende hadi vikongwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kazi kweli kweliStaa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo inakadiliwa kuwa ya miezi sita au saba. Hata hivyo staa huyo akuongelea chochote kuhusu kitumbo hicho kama alikua Location au ni kweli Ana mimba.
Mie warumi nakutakia kila la kheri, ila khaa!! Mie nilijua ushaenda MENOPAUSE maana na wewe wa kitambo si mchezo, nimeanza kukujua nikiwa na miaka 8 mpaka Leo hii uko vile vile, ila hongera, naona unafuata nyayo za ndugu yako mama tiffah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..hivi huko Leba hamnaga umri wa mwisho kuingia au kila mtu tu twende hadi vikongwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hao wang'oa meno naona waliishia kipindi kileeee cha mgomo wa kina Uli..... k..Tatizo sio mimba binamu tunachotakiwa kujua yupi ndio baba wa mtoto
Umbea siachi labda ning'olewe mdomo......
Mona atakuwa vampire aise,hazeeki
Man FongoTatizo sio mimba binamu tunachotakiwa kujua yupi ndio baba wa mtoto
Umbea siachi labda ning'olewe mdomo......