DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kinaendelea kukolea moto baada ya Monalisa Daniel, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM.
Monalisa ambaye amejijenga na kukubalika na vijana wengi katika mkoa wa Shinyanga, Kanda ya Ziwa ngazi ya kitaifa kiujumla kutokana na uchapakazi wake na kujitolea katika shughuli mbalimbali za kijamii na ujenzi wa jumuiya ya vijana, (UVCCM) anatajwa kuwa mmoja ya wagombea wenye mvuto katika mbio hizo za ubunge.
Chanzo:Jambo TV