DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Monaban umegombea tu kwa mara ya kwanza na hatujui sifa za utendaji wako iweje utake ushindi hapa arusha, kubali kushindwa jaribu tena kipindi kingine hahahaaa we ulifikiri ukiwa na pesa basi unapita tuu
Tuliwaambia kabisa kuwa safari hii tutawaibia Wao! Haa hah haha haha
Mfa majiiii mkubwa yeye.
Hatutak mbunge mwenye mkitambi mkubwa vile.
LEMA AGAIN
We mtu wa ajabu sana.
Kwa hiyo unataka kusemaje? Kafie mbele nyau wew
πππ comment ya kinyang'au sana hii