hahahaha nimesikia hilo jina nikapata image ya wanafunzi waliokaa vibaya(uchi uchi)
picha duka.
Kwa nini watoto wa kike,wasivae suruali kama watoto wa kiislamu,mbona majumbani hawa watoto wanaovaa skirt,wanavaa suruali,kama wangevaa suruali,wapi kioo utaweka,ili uone c*p*Halafu wale wa kiume wanachukua vile vioo vya kwenye vichongeo wanawawekea watoto wa kike wanakuwa wanawachungulia kidijitali zaidi! Badae wakikwaruzana kidogo tuu utaskia ndo maana c*h*u*p* yako imetoboka! Walimu wanakazi sana jamani...