Ni nyinyi mlianza kucopmare Nairobi na dar, ila sisi hatungefanya hivyo, sisi Nairobi tunauzi kwenye Nairaland, tunaingia war na Jo'burg and Abuja. Dar kama ni sisi tungeipa Mombasa ichuane, lakini Nairobi imeizidi hadi haina haja kucompare

Dar ndio hyo inawapumulia sahv uongo? Zaman mlikua mkiionea sana...lakini nairobi inakimbia vizur project za barabara nmezikubali,back to the topic joburgy inawapita kwa kila kitu nilini mtakua level moja?nawaza tu east Africa yote combined joburgy ndio mji tujifunze kwao! !