Dar ni Jiji au Sehemu chafu kuliko zote Tanzania, Watu wote wenye matatizo kichwani wanaishi Dar, Muda huu uliopost wapo kwenye foleni kufika Nyumbani saa tano za usiku, Dar baadhi ya maeneo hali ya hewa wanayovuta ni chafu yenye ukaa, Dar ni nzuri kwa wateule wachache wanaotembea na vingo 'ora wengine hali zao ni stress