Mojawapo ni Tanzania Bureau of Standard (TBS),tena nimeona wametangaza nafasi za kazi(tar 28/09/2018) utumishi.**Samahani anayejua maeneo ambayo MTU aliyesoma kozi ya MOLECULAR BIOLOGY & BIOTECHNOLOGY anaweza ajiliwa au kufanya kazi anijuze hizo organization, institutions zake