Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 267
Kwa mtazamo wangu askofu v.mokiwa alikuwa sahihi kutoa statement aliyoitoa juu ya kumtaka prezdaa aweke bayana ni akina nani haswa wanaouza madawa ya kulevya. Na kama baraza la maaskofu lingeinyamazia kauli ya huyu mropnkaji inamaana sisi waumin tusingewaelewa kwan tungeamin kwa namna moja au nyngne baraza la maaskofu linahusika kuwaficha wahalifu. Pia ningependa kuuliza BAKWATA hawajatoa tamko lao juu ya huyu mropokaji kwan katika kauli yake alijumuisha viongoz wote wa dini na kwa bakwata kukaa kimya inamaana wanaashiria kuna watu wa aina hiyo kwa upande wao..?