don-oba
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 1,387
- 677
Nimejaribu kufuatilia kauli mbalimbali za viongozi wa CCM hakika watu hawa hawamwogopi mungu. Leo nimepigiwa simu na moja wa kiongozi mashuhuri wa CCM aliyeweka kambi jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba na kuniambia kwamba jana wameua kitoto kichanga kama kutoa kafara ili washinde kata hiyo. Ameongeza na kudai imemsikitisha sana na kumhuzunisha ndio maana ameamua kutoa siri hii. 'mimi sijahusika kabisa bwana mdogo ila kuna wenzangu ndo wamefanya hiyo dhambi'. Nimemuuliza kwanini unaendelea kukipigia kampeni chama icho ilihali unajua dhambi iliyotendeka?. Amekata simu na sasahivi kila nikimpigia inaita mpaka inakata. Wana jamii naendelea kufuatilia kisa hiki kujua ukweli uko wapi.