Nimegundua toka siku alipoteuliwa mpaka leo, kumekuwa na kampeni nyingi sana dhidi ya Mh Pinda.
Sikatai kila mtu nana mapungufu yake, lakini nadhani suala la pinda kuna udini ndani yake
I HATE THIS!
Hii ipo wazi udini umetawala,na haya mambo ya udini hatua yalipofikia ni mbaya sana kila mtu anafukuto moyoni dhidi ya dini ya mwenzie,jamani wa-Tanzania tuyaache haya yana madhara makubwa huko mbele,ewe Mwenyezi Mungu tuepushe na hili,Amin.