Moja ya mambo yaliyofanya lowassa alijiuzulu ni utendaji wa mawaziri wake,pinda je?

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
10
Mkubwa Lowassa ambaye binafsi naamini ndo mtu pekee aliyebaki ndan ya CCM mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu,na ni ukweli usiopingika kwamba tangu aondoke Lowassa ndo serikali ya Kikwete imeyumba hadi leo..alijiuzulu uwaziri mkuu kutokana na uzembe wa mawaziri wake yan Karamagi na Msabaha..wawili tu.. juzi tumeshuhudia mawaziri wa4 miongoni mwa wanaoitwa mizigo wakitoswa...VIPI MIZENGO KAYANZA PETER PINDA kama bosi wao anangoja nini kuchukua hatua?
 
EDWARD NGOYAI LOWASSA alijiuzulu ili kulinda heshima yake kutokana na uzembe wa Karamagi na Msabaha, vipi kwa Mizengo ambaye mawaziri wa4 miongoni mwa wanaotajwa kuwa mizigo wametoswa tayari,Mizengo anangoja nini?
 
Nimegundua toka siku alipoteuliwa mpaka leo, kumekuwa na kampeni nyingi sana dhidi ya Mh Pinda.

Sikatai kila mtu nana mapungufu yake, lakini nadhani suala la pinda kuna udini ndani yake

I HATE THIS!
 
Nimegundua toka siku alipoteuliwa mpaka leo, kumekuwa na kampeni nyingi sana dhidi ya Mh Pinda.

Sikatai kila mtu nana mapungufu yake, lakini nadhani suala la pinda kuna udini ndani yake

I HATE THIS!
Hii ipo wazi udini umetawala,na haya mambo ya udini hatua yalipofikia ni mbaya sana kila mtu anafukuto moyoni dhidi ya dini ya mwenzie,jamani wa-Tanzania tuyaache haya yana madhara makubwa huko mbele,ewe Mwenyezi Mungu tuepushe na hili,Amin.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom