Wabongo bhana, mnajifanya mnahela mpaka unajiuliza huenda hamko Tanzania hii, wakat huo, mitaani huko kumejaa passo,vitz,Kuriko kununua ist bora ununue subaru impeza, inaswaga na iko kiume though inaendana kimuonrkano na ist
Wabongo bhana, mnajifanya mnahela mpaka unajiuliza huenda hamko Tanzania hii, wakat huo, mitaani huko kumejaa passo,vitz,
Mtu mwenyewe anashindwa kuandika neno "kuliko" unategemea nini?Wabongo bhana, mnajifanya mnahela mpaka unajiuliza huenda hamko Tanzania hii, wakat huo, mitaani huko kumejaa passo,vitz,