Moise Katumbi kwenye siasa za Kongo

Moise Katumbi kwenye siasa za Kongo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Siasa mchezo mchafu

Na sijui kama rais wangu Moise Katumbi alishauriwa kabla ya kuingia kwenye siasa

Amejipanga kisawa sawa dhidi ya fitina hizi za wana siasa mbalimbali nchini.

Leo chama tawala kimenunua vyombo vyote vya habari nchini na watu fulani kuzungumzia mabaya yake tu huku wakifanya matukio ya ajabu kudanganya population kuwa matukio haya yanafanywa na moise katumbi ili kuchafua jina lake na kupunguza nguvu yake kuelekea kwenye uchaguzi mkuu

Wafuasi wa chama chake wanauliwa na kushambuliwa na watu wasio julikana kila wanapokuwa kwenye mikutano ya siasa nchini wanapigwa mawe na wengine machupa uku serekali wakicheka na kudai kuwa wakongo hawamtaki moise katumbi

Timu za mpira wafuasi wake wameingizwa kwenye siasa kwa kupata wawekezaji wana siasa na wote wakiambiwa kuwa Moise katumbi ndio chanzo cha mpira wa Kongo kuaribika mpaka kuelekea timu za mpira kukataa kucheza katika uwanja wa Moise katumbi

Na kibaya zaidi yeye yupo kimya hana tamko lolote juu ya upumbavu huu zaidi ya kusafiri Marekani Israel na sehemu zingine okey acha tuone itakuwaje Maana kupona kwake hapa ni kuchukuwa madaraka tu
 
Si nimesikia kuna Wacongo wanatamani Rais angekuwa Magufuli?

Sasa mnampenda Magufuli halafu mnaogopa vifo?
 
Back
Top Bottom