Lini tulimponda? Au kwa sababu nyinyi mnamponda, kwa hiyo na sisi tunatakiwa kuwaunga mkono?
Msimu uliopita baadhi ya mashabiki wa Yanga tuliulalamikia upande wa kushoto wa timu yetu na hasa baada ya Boka kuumia! Kibabage alikuwa ni dhaifu. Viongozi nao waliliona hilo tatizo na kuamua kumsajili Zimbwe Jr ili kumpa changamoto Boka! Halafu unatuita wanafiki!! Tuache tupongeze usajili wa timu yetu kwa uhuru, ok?