Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,761
kaacha bunge lakini anahangaika kwenye nyumba za udongo !Inaonyesha wewe unadhani Bungeni kazi ni kutafuta maji au barabara jimboni. Kwa vile hufahamu majukumu ya Bunge sina muda wa kukupa darasa maana kama umesoma utakuwa ulifundishwa shule. Ila nikueleze jambo moja then kachimbe uelewe,Bunge ndio chombo kikuu cha kuisimamia serikali.
Sent from my iPad using JamiiForums
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria,
kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu?
Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata.
ifike mahali watanzania wajue hili
umelipwa cash au umepewa kiroba cha unga wa mo sembe ?Nenda katembelee jimbo lake halaf uje na hoja yako. Halafu nenda katika jimbo la mbunge anayehudhuria kila kikao cha bunge. Kisha tumia akili kupambanua naamini utajiona mkuda.
nimejikuta nawahurumia sana watu wa singida !Kwakweli kati ya watu waliopoteza kura niwatu Wa Singida mjini na sisi waswahili wa Kigoma mjini kwa Serukamba ingawa wanatanguliwa na jimbo la Mama Asumputa.Kiukweli naweza kusema nikama laana
Kwenye wabunge wote umemwona Mohammed dewji tu?
Kama kuna kitu unataka akufanyie sema tu ili
nikupe kontakti zake.
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia
Fukua mkuu.......