Mohammed Dewji kwanini haendi bungeni?

This is too personal,inatakiwa ijibiwe na mwenyewe ila ofisi ya bunge ndo inatakiwa ihoji

hayaa. kwa hiyo ni mmoja wa wale wajumbe tisa ambao hawajaripoti? hayaa.
 


Mkuu Charlie chaplin,sasa iwapo ahudhurii BUNGENI WAJIBU WAKE WAKUIWAJIBISHA NA KUISIMAMIA SERIKALI kwa mujibu wa Katiba ya Nchi atautekeleza vipi?Mbunge haishii kutatua matatizo tu kwa ujanja wake au ukwasi alionao bali kuisimamia serikali (KUPITIA BUNGE) kuhakikisha inatumia raslimali za nchi kwa manufaa ya wananchi wake na nchi kwa ujumla.
 

Kwanza ufaham kuwa mm sio mpiga wa jimbo lolote la Singida. Halafu uwepo wake au kutokuwepo ktk vikao vya bunge la ina yeyote lile mimi siathiriki kwa kuwa hata Mbunge wangu hanisaidii binafsi najiona anajisaidia yeye binafsi zaidi Akili zangu na Nguvu zangu ndio tegemeo langu. Ndio maana nika coments kuwa huyo Mnyika anae hudhuria kila kikao wapiga kura wake hawanufaiki na mahudhurio yake shida ya Maji ya ubungo na singida kwa Mo asie hudhuria haitofautiani na bora huyo Mo hahudhurii kama usemavyo lakini anatoa kg 2 za sembe akienda jimboni Myika anatoa nini au viroba vya konyagi?
 
Angalia jimboni kwake kuna hatua gani ktk maendeleo? Cyo kuropoka tuu
 

Inaonyesha wewe unadhani Bungeni kazi ni kutafuta maji au barabara jimboni. Kwa vile hufahamu majukumu ya Bunge sina muda wa kukupa darasa maana kama umesoma utakuwa ulifundishwa shule. Ila nikueleze jambo moja then kachimbe uelewe,Bunge ndio chombo kikuu cha kuisimamia serikali.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwani hata akienda umeishawahi kumsikia au kusoma kama kachangia kwa kuzungumza au kuandika toka amekuwa mbunge mwaka 2000?
 

Ww ulitaka nikuanishie kazi zote za Bunge/Mbunge? Mbona unaruka ruka kama chura hiyo ndio elimu ulio nayo. Au ndio nyie munaye nunua mitihani?
 
Ww ulitaka nikuanishie kazi zote za Bunge/Mbunge? Mbona unaruka ruka kama chura hiyo ndio elimu ulio nayo. Au ndio nyie munaye nunua mitihani?

Sawa mkuu wewe ni mshindi. Nenda kamwambie Dewji asiende kabisa Bungeni kwa vile anagawa 2 kgs za sukari inatosha. Kwaheri.


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Dewj anavunja Katiba ya nchi....kwanini hatekelezi kazi zake kikatiba
 
Hata wanandoa hawakutani kila siku,kwanini wewe unamtaka dewji aende bungeni kila mara?au kila siku?Kwa vurugu zile za Chadema una taka Dewji akafanye nini? Si bora apanue biashara zake ili kaka zako na dada zko wapate ajira?
 
Hata wanandoa hawakutani kila siku,kwanini wewe unamtaka dewji aende bungeni kila mara?au kila siku?Kwa vurugu zile za Chadema una taka Dewji akafanye nini? Si bora apanue biashara zake ili kaka zako na dada zko wapate ajira?
Unaonekana wewe ni mtoto mboga mboga
 

Hata prof muhongo haingii bungeni pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…