kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
... JESUS..! is the top name,duniani,mbinguni,kuzimu na kilakona. Likitajwa jina hilo dunia inataharuki. "na kila goti litapigwa mbele zake"...
Hauna matusi mapya kila siku haya haya njoo basi na tusi jipya ujue wewe unatisha JF watu wanajifunza kwako matusi mapya.We unampinga hadi mtume wako aliyekufa dushelele liko wima
Nani ana taharuki? Watu wanapiga magoti na kulawiti watoto huku wakiwa wametundika misalaba yenye jina hilo kwenye shingo zao. Sio goti la unyenyekevu ni goti la kulawiti
wazazi wa hao watoto wote ni wahamiaji kutoka middle east ,north afrika na eastern afrika hasa somalia na hao ndio wanaozaana sana wana rapid population growth kwa sababu uzazi wa mpango hauzingatiwi kwao kutokana na imani yao.wazungu hawazai sana ,nchi nyingi za ulaya wana kitu kinaitwa ageing population sasa yaani wazee ndio wengi kuliko watoto kwa sababu wengi hawapendi kuzaa na kulea watoto ndio maana kwa wale wanaozaa wanapewa bonus na serikali zao ili kuwavutia wazae kwa sababu wanazidi kupungua,kwa hiyo wageni ndio wanazaana sana ndio maana ya hilo jina linaongoza kwani ni muhammadans.
Kila goti litapigwaMohammad ni jina la kiarabu na halina uhusiano na uislam, lilikuwepo hata kabla ya huyo mwasisi wa uislam, tatizo waislam wameshindwa kutofautisha uislam na utamaduni wa kiarabu, wanadai hata kuvaa kanzu ni sunna kwenye uislam wakati wenzao wanavaa hivo kwa sababu za kijografia.
Cc:
@Khaatan FaizaFoxy
Mohammad ni jina la kiarabu na halina uhusiano na uislam, lilikuwepo hata kabla ya huyo mwasisi wa uislam, tatizo waislam wameshindwa kutofautisha uislam na utamaduni wa kiarabu, wanadai hata kuvaa kanzu ni sunna kwenye uislam wakati wenzao wanavaa hivo kwa sababu za kijografia.
Cc:
@Khaatan FaizaFoxy
Mohammad ni jina la kiarabu na halina uhusiano na uislam, lilikuwepo hata kabla ya huyo mwasisi wa uislam, tatizo waislam wameshindwa kutofautisha uislam na utamaduni wa kiarabu, wanadai hata kuvaa kanzu ni sunna kwenye uislam wakati wenzao wanavaa hivo kwa sababu za kijografia.
Cc:
@Khaatan FaizaFoxy
Kila goti litapigwa
We unampinga hadi mtume wako aliyekufa dushelele liko wima
Yuko mmoja hapa kampa mwanae hilo jina.
Yuko hapa.
lakini pia mi naona hizi ni dalili za mwisho wa dunia kwa sababu Yesu anasema dalili za mwisho ni pamoja na kuongezeka kwa maasi kama ushoga,uzinzi, ugaidi na imani,za ajabu ajabu kama freemason,illuminati na hiyo imani inayoongoza kwa ugaidi na bado itaenea sana kwani haiwapeleki watu mbinguni kwani njia ya mbinguni ni nyembamba ko ukiona dini ina waumini wengi ujue hiyo inawapeleka watu jehanam sio sifa.