Mohamed Mwameja Tanzania one 1993

Mohamed Mwameja Tanzania one 1993

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,247
Reaction score
7,125
Usia wa Mohamed Mwameja kwenda kwa Simba kupitia kwa Mohamed Husein,kwamba wakaze na wacheze kwa moyo na nidhamu.

 
Kwenye hii fainali ndiyo hasa falsafa ya ubaya ubwela inabidi ionyeshe makucha yake. Huu siyo muda wa kumuangalia mtu usoni.
Ikumbukwe kwamba Kuna Mchungaji mmoja nadhani Suguye kama sikosei aliitabiria Simba kufika mbali CAF CC.
Simba walimuomba Mwamposa na Shehe Wa Dsm kuwaombea na kwenda uwanjani siku na Al Masry.
Kuna watu walienda kumuomba huyo shehe Sharifu aiombee Simba akaiombea na walivuka dhidi ya Stellenbosch.
Sasa nae Tena anasema Simba watachukua kombe huko huko znz.
Mimi sio Muislam lakini naamini Uislam ni dini ya Mungu kama ilivyo Ukristu.
Dube,Ateba,Zengeli na wengine wamekua wakienda kuimbewa kwa wachungaji,na wale wachezaji waislam wamekua wakienda kuombewa kwa Mashehe.
Mwaka huu ni mwaka wa mapambano katika soka la Tanzania.
Watu wameamua pia kumtafuta Mungu.
Ubaya Ubwela ni Kila aina ya silaha itumike.
 
Back
Top Bottom