Mohamed Hussein na Abdullazak ni Vimeo simba

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,413
Reaction score
15,450
Kwanza huyu Hussein hata ukapteni sijui alipewa kwa vigezo vipi, anapenda mpira wa kurudi nyuma ili kumsumbua kipa. Jana goli la pili lilianzia kwake kwa kurudisha mpira nyuma makusudi tena kwa shuti Kali, ambapo kipa ilibidi aforce kulizuia na kujikuta anampigia Abdullazak ambaye ni beki wa hovyo.
 
hamza alisoma upepo kwa ile kasi asingeweza ikabidi ajivunje angeendelea kubaki uwanjani jamaa waengepata zaidi ya mabao 3
 
Mashabiki wa Simba mna tatizo la kulaumu bila sababu za msingi.... Hivi kwa mtu anayejua mpira unaqezaje kumlaum Zimbwe?, jana timu yote impararaizi hakuna mchezaji aliyekuwa bora... Mtu pekee aliyejitataidi nakuonesha ubora ni Kibu D.
Wachezaji wa simba wengi wana uwezo wa kawaida sana ambao usaidia timu nyakati ngumu hawawezi. Kingine cha mhimu timu imezoea kubebwa sana ko hawawezi kujitoa lwa damu na jasho, kuna wachezaji 3 tu simba ndio hutoa nguvu zao kapombe,Zimbwe na kibu.
 
Kama wangeendelea kuchezea Mpira nyuma kila mlinzi ungemuona kimeo!
 
Ukitaka ujue mtu hajui mpira anakwambia mchezaji kuumia mpaka kuwe na kukutana na mchezaji mwingine tatizo Nchi haina viwanja vingi vya open space watu wanakua bila hata kugusa cha ndimu wakikutana na Azam wanataka kuchambua sofa hawajui kuwa muscles zinaweza kubana na usiweze kunyoosha hata mguu hayo maumivu yanakutoa nje.
 
Haya ni maoni nikiwa Kama shabiki na mdau wa Simba Beki za Simba 🦁 muda mwingi ZINACHEZA KAMA WANAMWAYA WAKISABATO😊

LA KURUDISHA MPIRA NYUMA NI HATARE SANA BORA KUCHEZA BILA MFUMO NA MKACHEZA BUTUA BUTUA.

ZAMANI SIFA YA BEKI NI KUKWAMISHA MASHAMBULIZI KWA KUBUTUA MPIRA MBELE AT LEAST KULIKO KUPEANA PASI ZA NYUMA NYUMA.

PIA WOTE WANGECHEZA KAMA KAPOMBE ALIKUA NA JIHAD NA NIDHAMU KUJITOLEA

PIA KWENYE KONA BEKI ZA SIMBA ZINAKABA KAMA WANAMWAYA WAKISABATO 😊 YAANI KONA NI UNDAVA UNDAVA IKIWEZEKANA MNASUKUMANA KIDOGO NA KUBLOCK MTU..SIMBA WANAKABA KWA MACHO
 
Sawa Kibu D
 
Kwa kutokumuweka Mpanzu hapo hujamaliza kusema. Jana kafanya effort kubwa peke yake timu ikiwa imeshaparalyze. Kuna wakati, kwa kukata tamaa, akabaki kutafuna jojo tu.
 


WEEEEEEEEEH..... SEMA KWELI 😳😳😳😳
 
Kilichotugharimu jana ilikuwa ni backpass... Ukiangalia magoli yote mawili yalianzia kwa wachezaji kupoteza mpira kutokana na back pass... Na hata hatari nyingi za Berkane zilitokana na wachezaji wetu kupoteza mipira kwenye mazingira hatari due to back pass.

Simba waepuke Sana pasi za nyuma, wajifunze kupiga mipira mirefu mbele kuliko kumlazimisha kucheza vi pass kwenye presha
 
Eti kama Wanakwaya wa Kisabato. 😆😂🤣
 
Shida ni Kocha, nadhani huyu ndo muumini wa back pass, na haambiliki kwa hilo. Jana Berkane sikuona wao wakicheza huo ujinga wa back pass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…