Nakwambiaje ...simba ilikuepo na itazidi kuwepo kwa miaka mingi ijayo mtazaliwa mtakufa mtaiacha ...kuwepo si tatizo tatizo kuwa timu ya hovyohovyo yaani wa matopeni
Toka lini masikini akawa huru? Hayo matawi kwa zaidi ya miaka 80 walikuwa wapi?hapo ndio mnyama atakapo fungua matawi na kufika mbali zaid kuliko kuendesha timu kwa kutawaliwa na wageni uhuru maanake nn