MOGAS shortlists

msaguro

New Member
May 18, 2011
1
0
samahani kama kuna mwana jf anayefahamu kama mogas wameshatoa shortlist sababu tuliomba na wenzangu lakini no feedback
 
Pia naona kimya,ntampigia meneja ili anipe uhakika kama wameshaita. Usiofu ntakujibu soon.
 
Mimi ni mfanyakazi wa MGS International hakuna nafasi za kazi kwetu kumejaa.
 
Mimi ni mfanyakazi wa MGS International hakuna nafasi za kazi kwetu kumejaa.

acha ubabaishaji wewe. Kama kweli hauko serious maana hata moja ya morning briefing ktk mwezi wa mei meneja alitaja kuwa kuna huitaji wa sales executives nafasi6, na nyingne kadhaa. Labda useme zilipotangazwa kwenye gazeti na kwenye web ya kampuni ilikuwa geresha. Tuseme kumeshaundwa zengwe. Maana wabongo mh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom