MOE ( wizara ya Elimu ) imedukuliwa ( Hacked )

Sasa kama waziri mwenyewe ni Mlugo unategemea nini
kitatokea kwa wizara husika..?
watu wanajipigia tu....mpaka watadukua hadi matokeo
ya mkulu wa kaya akiwa shule ya msingi..
 
Watu bora liende... na mkono uende kinywani


Sasa kama waziri mwenyewe ni Mlugo unategemea nini
kitatokea kwa wizara husika..?
watu wanajipigia tu....mpaka watadukua hadi matokeo
ya mkulu wa kaya akiwa shule ya msingi..
 
Hiyo ndo njia nzuri ya kuwajulisha kua wanatakiwa kuupdate elimu zao..
 
Nitagharimia hacking ya ccm web,Morrocan mpo huku?
 
Naitafuta sababu ya kulifurahia hili jambo sijaipata bado.
 
Sasa kama site yenyewe wanashindwa kulipia unategemea wana pesa ya kumlipa developer mzuri anayeweza kuwatengenezea site iliyo protected kweli? Hawa jamaa Moroccan nawapa pongezi kwa kuwafumbua watu macho.

Bado tu kusikia hadi data za necta zimeingiliwa matokeo yote hadi ya miaka ya nyuma kufutwa, nimeanza kua na doubt kama jamaa wana backup ya kueleweka, bora walipe kampuni kubwa nje iwalindie data.
 

Kweli mkuuuu.. Ur right.. Ni uzembe huuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…