Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,008
- 142,677
Kwa nini si lazima upewe taarifa?Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Ni lazima. Narudia ni lazima. Na inawezekana alifahamu kuwa anaweza teuliwa ila huenda taarifa ilikuwa sio rasmi kutoka kwa wanausalama hivyo hakuwa na uhakika. Lazima ujiandae kuwa kuna mabadiliko yanakuja kwenye maisha yako na kazi zako.Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
hahahaNchi zetu hizi yeyote anaweza kuwa raisi hata wewe mkuu, jamaa ana hizo unorthodox nyingi kweli lakini raisi daah
Ungewaacha kwanza wenye akili yimamu wajadili. Wewe hujawahi kuwa na mchango wa maana hapa JF.Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Anateuaga watu bila kuwataarifu?Tatizo hili limeongelewa sana .
Nadhani bado upo nyuma sana na maigizo ya nchi hii , mfano wa corona tu ni jibu tosha!! Hao wote wawili wameongea kabla ya yote ya mbele .
So you are saying that he is a pathological liar?Kamba zake hamjazizoea tu? Season one aliahidi kutokukubali teuzi nyingine na safari hii anataka kutuaminisha kuwa wengi wetu hatujui taratibu za uteuzi wa watumishi serikalini
Huku ushenzini uteuzi ni Ulaji..nani akatae? Hawa waliookotwa majalalani? "UNAIJUA VIETI WEWE"-H Polepole 2020Kwa nini si lazima upewe taarifa?
Utajuaje kama mtu huyo anataka kuifanya hiyo kazi unayotaka kumpa?
Matatizo ya nchi yetu na nchi nyingi za kiafrika ni kuendelea kutenda kama colonisers wetu walivyo tuelekeza! Ambayo tunaiita awe na experience! Akitokea kiongozi anayetenda kwa kutumia njia zake za kufanikisha jambo kwa haraka - tunakuwa wa kwanza kumuona hafai - kwasababu experience yetu amei side step! Bashiru amekuwa akifanya kazi kwa karibu sana na Magufuli, hilo ni jawabu tosha na mengine ni mazungumzo baada ya habari (yale ya hakujulishwa)! Hata kama hakujulishwa, anajua!Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.
Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo π.
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.
Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;
Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.
Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.
Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.
Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.
Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah...sijui nisemeje tu...
Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni??
The guy is cocking a snook at just about everything...norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!
Man oh man...