Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
natengeneza website kwa kutumia drupal cms, moja kati ya page zilipzopo ni page ya kuuza vitu online,ila shida yangu ni modules gani ziko poa na ni rahisi kutumia ambazo zina deal na ecommerce(biashara ya mtandaoni) kwa sababu siko vizuri sana kwenye kufuma database from scratch hivo nategemea zaidi automatic installer ambayo nitaifanyia editing kidogo then nii embed katika webpage yangu!! nashukuru kama nimeeleweka.na kama sijaeleweka naruhusu maswali yoyote
cc Donn, C6 Nyasiro Msamiati, @deejaywillzz zech na wakali wengine wote wa jukwaa hili
cc Donn, C6 Nyasiro Msamiati, @deejaywillzz zech na wakali wengine wote wa jukwaa hili