K KARIM GWAJE'S Member Joined Jan 16, 2015 Posts 24 Reaction score 1 Feb 6, 2015 #1 Wakubwa mimi nina shida nianzishe mfumo wa cable hivyo nina shida ya modulator na amplifier booster za kusukumia mawimbi kwa wateja wangu mwenye ujuzi anipe mawazo.
Wakubwa mimi nina shida nianzishe mfumo wa cable hivyo nina shida ya modulator na amplifier booster za kusukumia mawimbi kwa wateja wangu mwenye ujuzi anipe mawazo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,291 Reaction score 108,312 Feb 6, 2015 #2 Hamishia thread yako jukwaa la sayansi...