Mods toeni hii kerooo!!!

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,433
Reaction score
191,756
Mods tuondoleeni hili tangazo pop up linakeraaaa! Liwekeni liwe static sio pop up linaboaaa aisee kila nikifunga linarudi nkiload page mpya!
 
Tumia App uepukane na usumbufu huo
App ya jf imekaa kiduanzi...Navigation hazieleweki yani mara ukirudi page ya nyuma unaanzishwa mwanzo kabisa! Kichef chefu. Wafuate mfumo wa browser ina navigation rahisi mno
 
Loh hapa nilijua simu yangu ndio ina tatizo
 
Hamna app yao mbaya mno, Mi niliinstall siku ya kwanza tu nikaifuta, halafu nilitoa maoni yangu huku wakaifuta post. Ukilisema hilo wanakufutia uzi!
 
App ya jf imekaa kiduanzi...Navigation hazieleweki yani mara ukirudi page ya nyuma unaanzishwa mwanzo kabisa! Kichef chefu. Wafuate mfumo wa browser ina navigation rahisi mno
punguza asila.mkuu makosa yakawaida kabisa
 
App ya jf imekaa kiduanzi...Navigation hazieleweki yani mara ukirudi page ya nyuma unaanzishwa mwanzo kabisa! Kichef chefu. Wafuate mfumo wa browser ina navigation rahisi mno
app ina mb nyingi sana hivyo kwa visimu vya tecno kufanya simu inakuwa slow
 
App ya jf imekaa kiduanzi...Navigation hazieleweki yani mara ukirudi page ya nyuma unaanzishwa mwanzo kabisa! Kichef chefu. Wafuate mfumo wa browser ina navigation rahisi mno
Kwa simu browser inaboa upande wangu, ila kwa PC ndio habari ya mjini.

App iko poa kwa simu
 
Dah mie browser mwake mwake. Fungua na chrome utainjoy
Browser ukiwa sehemu yenye mtandao unaosuasua kufungua ni kazi sana. Ila App ni simple sana.

Pia muonekano wa trending posts kwa App uko poa na ni rahisi kutembelea majukwaa mbalimbali kuliko browser.

Anyway ni chaguo la mtu kwa style anayoipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…