Mods ni bora mkaufunga au kuundoa kabisa huu uzi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,856
Kuna uzi umeletwa hapa na Mwanahabari Huru ambao ndani yake una video inayohusu Mbunge Lema kumjibu mkuu wa mkoa wa Arusha.

Clip inaonekana kuzuiwa na kwakuwa imezuiwa au kama clip ina tatizo basi ni bora tu kufunga huo uzi kuliko kuacha watu wajadili kitu ambacho hakipo unless mnapanga kuurudisha /kurekebisha tatizo kama lipo but otherwise ni bora kuufunga kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom