Jiwe Linaloishi huyo jamaa alitembea na mke wa mtu kwa maana ile iliyojificha sio ya kutoka Airport mpaka kona ya Bwiru unayojua wewehahahaha kwani kutembea nae tu ni kosa ua alimgonga kabisa...? au ndio ule usemi paka na paka na samaki hawakai tenga moja?
Jiwe Linaloishi huyo jamaa alitembea na mke wa mtu kwa maana ile iliyojificha sio ya kutoka Airport mpaka kona ya Bwiru unayojua wewe
Ndo maana Erickb52 kakimbia mwanza hawezi kurudi Arushaone hebu mwambie Erickb52 ajitokeze bana tushamaliza soo lake
Jiwe Linaloishi nakutafutia Paw na wewe akupe ban ya maisha kwa kunituhumuduh poa mkuu umesomeka.. kumbee haachi mbachaoo kwa dem akatizaye.. basi simwonyeshi kiota changu.. lakini na wewe unaonekana kama ni mmoja wao
Erickb52 anakula na laptop hawezi kuigusa kwa sasa, let him finish his lunch first. Ila nshamweleza kuwa Mr Rocky ametoa tuhuma akamweleza Jiwe Linaloishi umbea flani wa MWANZA.
Jiwe Linaloishi nakutafutia Paw na wewe akupe ban ya maisha kwa kunituhumu
kiota chako mbona nishakijua na hapa napiga jaramba kukifuatilia wala usihofu mimi "nitatembea" nae tuu usiogope
paw mwenyewe nimema ban ndio maana haonekani humu ukimwona humu ujue ashatubu.. we hujui kwetu katavi ntakutembeza na miguu mitatu.. na busha kama tikiti maji.. nakuongezea na manyonyo hiyo situ haitafunga tuone km utakatiza kitaa
mbona kuna ambao hujawataja, unawaogopa au??
Jiwe Linaloishi usimfuate huyo Mr Rocky atakuoteza na utabaki kuambulia kula ban tu oooh mwenzako mjanja hapa anatafuta ban kwa nguvu ili apate muda ea kufanya kazihahahaha hamna umbea bana si alikamatwa ugoni mwanza....
Sio kwamba ananitetea bali anasema ukweli na kwa kuwa mna majungu na mshirika wako sidhani kama mtatulewa Mr RockyJiwe Linaloishi unamuona Arushaone anavyomtetea Erickb52
Inaelekea hawa ni wale wale waarabu wa pemba
na inaonekana huwa wanakutana kwenye vichochoro na zile nokia zao za toarch wanaulizana