shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,504
- 2,976
Habari za muda wadau .
Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban .
Nakweli baada ya simba kushinda kuna watu walinifukunyua nikapigwa ban ta wiki nilipitia ugumu na sikuwa na namna .
Leo mtu wa kuitwa laban og kaomba mwenyewe kwa ridhaa yake apigwe ban lakini mpaka muda huu anadunda tu .
Ninaomba kama itawapendeza apigwe ban na roho yangu itasuuzika.
Asante.