mbona kila siku wanawake wabovu wabovu kwani hamna wanaume vimeo???
Aisee nafurahi kunikumbusha niliisoma zamani sana kwenye email nimekumbuka mbali sana aliyenitumia hii mail alifariki kwa ajali
mbona kila siku wanawake wabovu wabovu kwani hamna wanaume vimeo???
Dah, hopeful utasema Bwana azidi kumrehemu!