wezi tu nnaijua ipo ina karibu mwaka aina na aitoi ata kampuni moja imejaa wizi tu na ulaji,
Nimewapelekea proposal wakaanza kunipiga kiswahili,wanataka 10% hawa, kuna watu/kampuni kama 10+ wamewapa vyumba pale costech kijitonyama na vijilaptop/pc na internet conection sasa hawa wana inovet nini sayansi na technolgia sio computer software development tu.
sijui ni lini watanzania watakuwa makini,ata mambo ya kimaendelea tunaweka UCCM Mungu tunusuru wanaTanganyika utujalie tuwe kama Wanakenya ambo Kituo chao kama hiki chetu kimewezesha makampini zaidi ya 10 kuanza na kuzalisha products ambazo ata TIGO Tanzania ni wateja wake na kimeshatoa ajira zaidi ya 200 mpaka sasa. keep it kenya
*iHub_ Nairobi