Modern commercial beekeeping!!

Modern commercial beekeeping!!

kadendulajr

Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
8
Reaction score
1
Habari,

Kampuni yetu ya Central Park Bees Limited inakuja na Starter KIT iliyokamilika ya kukuwezesha wewe kuingia katika biashara ya ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na yenye mafanikio makubwa.

Kwa wateja wetu tutaweza kutoa msaada kwa mwaka mzima pale utapohitajika pia kuhakikisha mizinga yako iko katika hali nzuri wakati wote na mteja hatotakiwa kuwaza kuhusu soko kwasababu kampuni yetu itahusika na kununua asali yote toka kwa mteja na kufanya malipo mara moja bila kuchelewesha.

KIT yetu itakua na orodha ya huduma na vifaa vifuatavyo:-
1.Langstroth beehives
2.Bee smoker
3.Protective bee suits na gloves
4.Hive tool
5.Bee brush
6.Uncapping Fork
7.Stainless steel double sieve strainer
8.4 frames manual honey extractor
9.Practical training katika shamba letu


Kupitia training yetu utaweza kujifunza jinsi ya kutumia vifaa vyote hapo juu na pia kujifunza ufugaji bora wa nyuki kwa vitendo katika shamba letu na jinsi gani utajiingizia pesa nyingi kupitia hii biashara.

Sababu za kutuchagua sisi:-
1.Uhakika wa soko
2.Vifaa vya kisasa hivyo kupelekea asali yenye kuhitajika katika soko la kimataifa
3.Bei za ushindani za vifaa


NB: Kwa sasa mashamba yetu ya mfano yapo Dodoma, Dar es Salaam, Kigoma, Mbeya, Silali na Zanzibar. Pia tunazidi kusambaa katika mikoa mingine ya Tanzania.

Gharama ya STARTER KIT nzima ni 3,860,000/=
Marejesho ya uwekezaji (Return On Investment) ni ndani ya mwaka mmoja:-
18Kgs/Mzinga kwa kila vuno moja (kiasi cha chini) × Mizinga 15 (Ushauri wa KIT hii) × Mavuno mara 5 (kiasi cha chini) kwa mwaka mmoja = 1350Kgs
Bei ya jumla:-
1Kg = 7,000/=
Hivyo;
1350Kgs × 7,000 = Tshs 9,450,000/= 


Kwanini uchague mizinga yetu;
· Inadumu zaidi ya miaka 10
· Inahimili mabadiliko ya hali ya hewa i.e. Baridi, Joto etc
· Uwezo wa kuzalisha zaidi ya Kg 18 kwa kila vuno moja.
· Urahisi wa uendeshaji
· Imetengenezwa maalum kwa nyuki wa kiafrika
· Imetengenezwa katika kiwango cha juu kinachokidhi viwango vya kimataifa.



Mizinga yetu ina guarantee ya kuishi zaidi ya miaka 10 bila shida yoyote.

Mawasiliano:
0789898939/0718513302
info@centralparkbees.co.tz
ckadendula@centralparkbees.co.tz
Kwa maelezo zaidi kuhusu vifaa vyetu na huduma zetu, tembelea tovuti Central Park Bees Ltd - Home of Beekeepers | Beehive Management, Swarm Removal, Training, Site Survey, Pollination Services Bees Products

NB:
· Gharama za vifaa vyetu vyote zimeorodheshwa katika PDF hapo chini.
· Gharama za KIT nzima zipo katika bei ya punguzo ukilinganisha na kununua kifaaa kimoja kimoja.
 

Attachments

Natumai hii yaweza kukufaa my dear jaribu kupita hapa One n Only.

SHARING IS CARING. HAVE A NICE DAY.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom