Asanate sana. Hiyo xp naweza kudownload au hadi kununuaNimewahi kuta mtu ameweka window 7 ktk dell ya 1.8 ghz na 512 ram alafu analalamika pc ipo slow.
Nakushauri kufanya backup na ufanye installation ya windows xp upya na kabla ya kurudisha files uweke antivirus kwanza.
Windows 7 inataka RAM ya ukubwa wa kuanzia 1 GB na kuendelea ndo hufanya kazi vizuri na si tofauti na hapo. Jaribu xp3 sp3 ni windows nzuri sana kwa RAM kama yako au unaweza kunulia RAM ya ukubwa wa 1GB na ukaendelea kutumia hiyo windows 7. Antivirus yenye ukubwa mdogo pengine inaweza kuwa mse (microsoft security essential) mi naitumia na haisumbuwi.Wakuu
Moderm (Airtel) imeanza kuniambia 'there is no disk in the drive. please insert a disk into drive/Device/harddisk1/DR5' kila ninapochomeka moderm. Ilianza na flash na sasa moderm nayo inafanya hivyo. Natumia min laptop, acer windows 7
1. Tatizo ni laptop au hizi flash/moderm?
2. Moderm inaweza kuwa na virus?
3. Nimeshindwa kuweka anti - virus katika laptop maana ina RAM 500 hivyo kila niki install anti - virus (za kudownload
free/trial) laptop inakuwa slow sana na niki uninstall inarudi katika hali ya kawaida. Anti - virus gani inafaa kwa laptop
ndogo?
Naombeni msaada wakuu maana kazi zinakwama. Nimejaribu ku google nimeshindwa kupata jibu
Windows 7 inataka RAM ya ukubwa wa kuanzia 1 GB na kuendelea ndo hufanya kazi vizuri na si tofauti na hapo. Jaribu xp3 sp3 ni windows nzuri sana kwa RAM kama yako au unaweza kunulia RAM ya ukubwa wa 1GB na ukaendelea kutumia hiyo windows 7. Antivirus yenye ukubwa mdogo pengine inaweza kuwa mse (microsoft security essential) mi naitumia na haisumbuwi.
Wakuu