Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Pole sana mkuu Jf server imezidiwaRejea post zangu mlizofuta halafu niambieni kwanini mmefuta au niwaoneshe post zinazopaswa kufutwa na hazijafutwa au mnanitaka? JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan akutake ww ChakubangaRejea post zangu mlizofuta halafu niambieni kwanini mmefuta au niwaoneshe post zinazopaswa kufutwa na hazijafutwa au mnanitaka? JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
ni zimehamishiwa wapi/jukwaa gani?Swali ninaloulizwa mara nyingi na wakaka baada ya kugegedana
https://www.jamiiforums.com/index.p...nyingi-na-wakaka-baada-ya-kugegedana.1559912/
Mtarimbo una raha yake jamani
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/Mtarimbo-una-raha-yake-jamani.1553586/
Kabla ya kutoa shutuma uwe unauliza kwanza.
Post zako za kijinga kama hizi hazijafutwa bali zimehamishwa kwny jukwaa ambalo ww hauna acces.
ni zimehamishiwa wapi/jukwaa gani?
Pole mdada jamani....... kuna mtu kasema walizihamishia jukwaa jingine sasa sijui hilo ni lipi?....na kwa nn wahamishe za kwako tu..Rejea post zangu mlizofuta halafu niambieni kwanini mmefuta au niwaoneshe post zinazopaswa kufutwa na hazijafutwa au mnanitaka? JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
oooh... okey. and the main reason ni nn kuzipeleka huko if you wont mind......
Jukwaa la wakubwa
oooh... okey. and the main reason ni nn kuzipeleka huko if you wont mind......
Unawatetea mods, au na wewe unamtaka?
Nilikuwa humu miaka kadhaa humu huko nyuma kwa ID nyingine baada nikatoweka kwa sababu mbalimbaili though nina ID mpya si mgeni sana japo wenyeji wengine humu ndani kwangu ni wageni pia....
*baadae
Avatar yako ndio inapelekea post zako kufutwa! au hukulijua hilo? kwani utawajua kwa matendo nk nk yaoRejea post zangu mlizofuta halafu niambieni kwanini mmefuta au niwaoneshe post zinazopaswa kufutwa na hazijafutwa au mnanitaka? JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mdada jamani....... kuna mtu kasema walizihamishia jukwaa jingine sasa sijui hilo ni lipi?....na kwa nn wahamishe za kwako tu..
Namtaka nani?! Nimemwambia nyuzi hazijafutwa ila zipo ambapo yeye hawezi kuzifikia
Nilikuwa humu miaka kadhaa humu huko nyuma kwa ID nyingine baada nikatoweka kwa sababu mbalimbaili though nina ID mpya si mgeni sana japo wenyeji wengine humu ndani kwangu ni wageni pia....
Nakutania bosi...
Ukisoma malalamiko yake kuna mahali kasema, "Au mnanitaka?"
So nikakuchonganishia hapo.