Wakuu msaada wa tuta hapa, nahitaji ku un lock modem ya zantel nami nile kiulaini manake bundle 10 elf tabu kweli, naombeni muongozo plse:crazy::crazy::crazy:
pekua thread ya 2ethemiza kwenye ili jukwaa,watu wengi kwa zantel tunatumia free kabisa kwa 100mb kwa pc moja ukiwa na pc kumi na account 10 basi una 1gb daily