Wadau habari,naombeni msaada wenu,natafuta modem kwa ajili ya matumizi ya internet ya airtel,nimetafuta sana kwy maduka yao lakini wanadai hawana kwa sasa,au naweza kupata wapi modem ambayo ni UNLOCKED ambayo itakua rahisi kutumia mtandao wa airtel/wowote?