Modem ya 4G lte

AGAPE BOY

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
194
Reaction score
160
Wadau naomba mnitoe tongotongo hapa! Modem ya 4G lite inaweza kushare data kwa kasi ileile ya 4G kwenye computer yoyote??

Na kama hakuna ni computer ipi inaweza kushare 4G modem kwa kasi ileile???

Nawasilisha..
 
itategemea na kasi ya adapter ya wifi. kama una adapter nzuri ya wifi ndio itashare kwa kasi ile ile na kama upo utofauti basi utakuwa mdogo sana hasa kwenye ping.

ila kama una adapter ya kizamani ya wifi hutapata speed kama ya 4g.
 
Ntajuaje mkuu kama adapter yangu ni ya kizamani??

Na kuna uwezekano wa kuibadilisha??
 
Ntajuaje mkuu kama adapter yangu ni ya kizamani??

Na kuna uwezekano wa kuibadilisha??
unaangalia specification ya kifaa husika kama ni simu au laptop na unaweza pia kuongeza kama wifi yako sio nzuri, au ukanunua router ya kuchomeka hio modem.
 
unaangalia specification ya kifaa husika kama ni simu au laptop na unaweza pia kuongeza kama wifi yako sio nzuri, au ukanunua router ya kuchomeka hio modem.
Kidogo naelewa! Shukran sana mkuu
 
Kama ni computer kwa computer pia unaweza kutumia LAN cable, hii iko applicable kwa computer mbili tu, utatumia connectify na kushare over LAN, speed ya shared internet itategemea na speed ya modem, assumming other factors remain constant.
link speed ya LAN itategemea na specs za network card ya PC yako zipo 100mbps na 1gbps.
 
Kujua hizo specs za network card nafanyaje mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…