mwilawi Senior Member Joined Oct 13, 2013 Posts 139 Reaction score 89 Oct 28, 2013 #1 Jamani naomba kwa anaejua modem sharing. Kwani katika pitapita yangu kwenye mtandao nilikutana na hii kitu, na wanasema ni kutumia modem mbili katika PC moja ili kuongeza speed ya internet. Lakini sikuelewa vizuri NAOMBA MSAADA
Jamani naomba kwa anaejua modem sharing. Kwani katika pitapita yangu kwenye mtandao nilikutana na hii kitu, na wanasema ni kutumia modem mbili katika PC moja ili kuongeza speed ya internet. Lakini sikuelewa vizuri NAOMBA MSAADA
mgeni3 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2010 Posts 228 Reaction score 63 Oct 28, 2013 #2 Kuna thread kama hyo humu ndani search tu kaka utaikuta
mwilawi Senior Member Joined Oct 13, 2013 Posts 139 Reaction score 89 Oct 28, 2013 Thread starter #3 Thanks. Ngoja nisearch