Modem mpya za vodacom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem mpya za vodacom

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mr Kicheko, Jun 1, 2012.

 1. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Wadau nilipoteza kiaina ile modem yangu ya k3571-z so nikawa kiguu na njia kusaka nyingine nichakachue dhen kukamua line zote.
  Nimezunguka Shop zote za karibu nikakuta hii kitu haipo tena badala yake jamaa wamehamia Huawei kwa kufyatua E-173 ya 7.2Mpbs nikajiuliza mh hawa nao wamekuwa costomized?
  sikuwa na jinsi nikachukua moja kwa tsh 35,000 baada ya kuinstall na kuweka line ya zantel kumbe jamaa wepesiiiiii coz modem ilikuwa inataka unlock code teh teh teeeh kama kumsukuma mlevi wa chang'aa. Nakamua but speed haifiki 7.2 ni ile ile ya siku zote
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Unlock code uliipataje mazee?
  Mwaga maujuzi basi tukuelewe vizuri..................
   
 3. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Ticha umeamua kunipima mkuu!!!
  Ok kupata unlock code:-

  1.Download Software ya Universal Master Code HAPA
  ukishainstall ingiza Imei za modem yako then click calculate,universal master code itasoma na kukupa unlock na flash code so unachukua hizo unlock code na kuziandika pembeni then unachomeka hiyo modem ya voda ukiwa umeweka line ya tigo,zantel au airtel ikidai code ndiyo waingiza hizo number then unaclik ok na kuwait few min kwishney.
  Mpaka hapo nimesomeka ticha!!!!
   
Loading...