Modem mpya za vodacom huawei e-173

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
789
213
Wadau nilipoteza kiaina ile modem yangu ya k3571-z so nikawa kiguu na njia kusaka nyingine nichakachue dhen kukamua line zote.
Nimezunguka Shop zote za karibu nikakuta hii kitu haipo tena badala yake jamaa wamehamia Huawei kwa kufyatua E-173 ya 7.2Mpbs nikajiuliza mh hawa nao wamekuwa costomized?
sikuwa na jinsi nikachukua moja kwa tsh 35,000 baada ya kuinstall na kuweka line ya zantel kumbe jamaa wepesiiiiii coz modem ilikuwa inataka unlock code teh teh teeeh kama kumsukuma mlevi wa chang'aa. Nakamua but speed haifiki 7.2 ni ile ile ya siku zote
 
Mkuu, mimi nina E-173 ya Airtel naomba msaada namna ya kuichakachua ili nitumie line zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom