Eng Kimox Kimokole JF-Expert Member Joined Jun 9, 2010 Posts 1,041 Reaction score 772 Jul 11, 2011 #1 Wakuu naomba msaada wa kuichakachua modem mpya ya tigo, imekubali kubadili dashboard tu ila firmware imegoma katakata hivyo inakataa line nyingine zote isipokuwa ya tigo tu. Waliofanikiwa tafadhali msaada. Nimeambatanisha na screen
Wakuu naomba msaada wa kuichakachua modem mpya ya tigo, imekubali kubadili dashboard tu ila firmware imegoma katakata hivyo inakataa line nyingine zote isipokuwa ya tigo tu. Waliofanikiwa tafadhali msaada. Nimeambatanisha na screen
Eng Kimox Kimokole JF-Expert Member Joined Jun 9, 2010 Posts 1,041 Reaction score 772 Jul 11, 2011 Thread starter #2 Jamani hakuna mwenye kujua namna ya kuichakachua E153u-1?
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,279 Jul 11, 2011 #3 Mkuu hebu check na huu uzi https://www.jamiiforums.com/tech-ga...lock-modem-mpya-za-tigo-zilizoshindikana.html
Mkuu hebu check na huu uzi https://www.jamiiforums.com/tech-ga...lock-modem-mpya-za-tigo-zilizoshindikana.html
SHAROBALO JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 771 Reaction score 349 Jul 11, 2011 #4 nilisha chakachua hiyo soma link ya hapo juu..ila ni temporary!!!!! kila ukitaka kutumia line nyingine una FATA step zake....do it at your own risk!!
nilisha chakachua hiyo soma link ya hapo juu..ila ni temporary!!!!! kila ukitaka kutumia line nyingine una FATA step zake....do it at your own risk!!