Habari wanateknolojia. Nimenunua modem mpya (3.5G HSUPA, 7.2Mbps), SIMCARD inadetect, tatizo lake mnara hausomi (inaandika x sehemu ya bars za mnara). Nini suluhisho la tatizo hili? Natanguliza shukrani.
Angalia kwenye setting fungua kipengele cha nertwork kisha kama ipo 3g onl chagua 3g and auto itasaidia pale panapokua hamna mawim i ya 3g itachagua mawimbi ya 2g etc ila ikibaki 3g only kama hamna mawimbi ya 3g mnara wa network unakata