kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 910
- 862
heshimna ziwafikie wakuu.
hka kasoftware nilika download kwa majaribio tu lakini ni kazuri vibaya sana sasa hv naweza ku restore from the factory simu yangu ikizingua chochote kwani mambo yangu yote muhimu ntayapata mda wowote applications na install tu sio kudownload upya ilove this walipoua kabisa hawa jamaa ni kwenye c share nawapa salute